Nimepita kama radi tyrTupia pic nyamwi πΉ
Uongo πΉNimepita kama radi tyr
πΉπΉπΉhahaa...
Ungejichanganya tu, angekukoboa, ukabaki pumba tu.ππ€£
Ewaaaπ»Saint Anne nkamu wangu njoo utupie pics za cake nataka nimzawadie mtu huku..!! πΉ
Nkamu cake nzuri inaonekana pia traamu ππEwaaaπ»
Haya ndio maneno nkamu
Niambie pisi Kali wangu...Mtabiriiiiii π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£π!
Nakumbuka tu utabiri wako love basi nacheeeeeeeekaNiambie pisi Kali wangu...
Hiki ni nini?Chef wangu Mwachiluwi njoo u-guess tunapika nini leo.
View attachment 3409034
View attachment 3409036
Nyanya zilizoiva ile ile π€£ π€£Hiki ni nini?
Mbona zimekatwa kubwa kubwa hiviNyanya zilizoiva ile ile π€£ π€£
Zitasagwa zikiivaMbona zimekatwa kubwa kubwa hivi
Mahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria ππChef wangu Mwachiluwi njoo u-guess tunapika nini leo.
View attachment 3409034
View attachment 3409036
Na wewe tupia lamoMahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria ππ
Tupia wako kwanzaMahi tupia mshepu wako tena kwanza ujue bado naufikiria ππ
Babu unakunywa nini? π