Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,242
- 86,918
Domo tu, vitendo aahh..!! 😹😹Toto tutusa sana wewe , wewe unapaswa upate huduma ya kwanza na utibiwe emergency kabisa😊
Domo tu, vitendo aahh..!! 😹😹Toto tutusa sana wewe , wewe unapaswa upate huduma ya kwanza na utibiwe emergency kabisa😊
Weka weka mahi lavu 😍Haikai zaidi ya sekunde tatu, ngoja niicrop kwanza 🤣🤣🤣🤣
😊 nikitupia nitakutag wala usijaliChica nawe tupia nikuone onyinye 😀
😍😍Nimekubamba leo 😍😍😍
Wee lizuri shosti awww Mungu anaumba nyie..!!
We kaongo, tupia ss hivi baadae kutakua na jam 😹😊 nikitupia nitakutag wala usijali
😁Maombi yenu soon naolewa…!! 😹😹
Nimeweka umeona 🙃Weka weka mahi lavu 😍
Wakati mwingine kwa leo hapanaWe kaongo, tupia ss hivi baadae kutakua na jam 😹
Umeanza uongo 😞Nimeweka umeona 🙃
Huo muda wakati sitokuwepo bhana chica, em pita shwaaahh km jet..!! 😹Wakati mwingine kwa leo hapana
Andaeni sare harusi tunayo..! 😹
Mi nlimuona 😁😁ni bwanamdogo flan hivi ambaye umri na muonekano havina uhusianoMpaji Mungu ☹️, mbona hukunisanua nimuone min -me nimesikitika sana
Hivi unajua weee ndo umezingua kuprolong maongezi mfyyyuuuuuu!!!🤨🤨.She was about to 🤳 kabisa dah!Tutapita siku nyingine kivyetu vyetu
Nimeweka wewe ukapotea, sasa hivi watu washajaa 🤣🤣🤣🤣Umeanza uongo 😞
Hiyo pic iko wapi?
Yani we muongo sijaona khaaa!! 😹Nimeweka wewe ukapotea, sasa hivi watu washajaa 🤣🤣🤣🤣
🤣🤣🤣 hapana kwa kweliHuo muda wakati sitokuwepo bhana chica, em pita shwaaahh km jet..!! 😹
Aisee 😁 sema siku nyingineMi nlimuona 😁😁ni bwanamdogo flan hivi ambaye umri na muonekano havina uhusiano
Weka bachiii na wewe 😔🤣🤣🤣 hapana kwa kweli