min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 58,613
- 168,935
Hahahahaha acha zako , unafikiri jf tunadanyika kirahisi😅 mimi ni mlevi na ni mlevi kwel hakuna mbambaaa , wewe toto tutusa kabisa , umenoma umeshamiri kinouma.Sasa huo uromantic umetokea wapi tena?
Nyuzi zangu huwa ni kujitoa ufahamu tu 🙈😂