Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,902
Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya π° zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt π€£ π€£ π€£sawa maMtu πView attachment 3407923
π π kwenye replies tuwaachie amateur maMtuHaya Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya π° zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt π€£ π€£ π€£
Ahahah maongezi ya bila kitu kwanini una ongea?Mwachiluwi nilikuambia baMtu yuko busy ananitafutia Segerumba hana muda wa kunibebisha kwenye replies, haya π° zimepatikana tunaenda kutamba Hyatt π€£ π€£ π€£
Hebu nyamaza wewe π€£ π€£ π€£Ahahah maongezi ya bila kitu kwanini una ongea?
Mengine utaamua wewe baMtu, niambie tu safari ya siku ngapi na nipaki nini πBinti wa zamani naona mapendeko yake ya kuzingatiwa πView attachment 3407928
Mengine utaamua wewe baMtu, we niambie tu safari ya siku ngapi na nipaki nini π
Tafuta hela baMtu, mi nataka kufanya safari zote hizo na ya mwisho tunamalizia Dubai kwa wiki 2 π€£ π€£ π€£
imeisha hiyo maMtu ππTafuta hela baMtu, mi nataka kufanya safari zote hizo na ya mwisho tunamalizia Dubai kwa wiki 2 π€£ π€£ π€£
Maneno yanatakaβ¦β¦..? πHebu nyamaza wewe π€£ π€£ π€£
Mtu mwenye βSegerumbaβ hee heeee, bwana we maneno mwenzake β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦Maneno yanatakaβ¦β¦..? π
Kashiaaah ππ leo katoa bible mpyaMtu mwenye βSegerumbaβ hee heeee, bwana we maneno mwenzake β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦β¦
Sijui nilikua naishi chini ya jiwe gani nimekuja kumjua Anko T wiki iliyopita.Kashiaaah ππ leo katoa bible mpya
Ana niacha hoi sanaSijui nilikua naishi chini ya jiwe gani nimekuja kumjua Anko T wiki iliyopita.
Ana maneno ππ½ππ½ππ½
Ana ujinga wake ila saa nyingine anaongea point sana π€£π€£Ana niacha hoi sana
Sure mimi naamini kuna wanawake wanabadirika kisa huyu ana wafungua akili kuna wengine wamejisahau kabisa
Self acha mbwembwe
Mangi, mbwembwe ziko wapi hapo π€£ π€£ π€£Self acha mbwembwe
Sijawahi ona una selfika zaidi ya mdomo tuπ€£Mangi, mbwembwe ziko wapi hapo π€£ π€£ π€£
Nakuiga wewe Mangi, siku ukianza na mimi nitafuata.Sijawahi ona una selfika zaidi ya mdomo tuπ€£
Mhmmm mimi nimeselfka humu mnoNakuiga wewe Mangi, siku ukianza na mimi nitafuata.