Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,319
Hahaha..........nitajitahidi kufanya hivyo next time, lakini Kwa summary. Mtunzi anatuasa kujenga tabia ya kuwekeza, iwe kwenye real estate ama vyovyote ili ku-generate personal income na kuwa financial Stable katika nyakati zetu za Uzee.Safi mkuuu. Uwe unaweka summary kidogo humu. Kuwasaidia wenye alreagy yakusoma Kama wakina Aaliyyah
Last time niliulizwa na Vijana wangu swali lililoniboa, kwamba kwanini sikuwa na makazi Masaki
Ndiyo kisa cha kuwanunulia hicho Kitabu ili kujibia swali lao