min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 46,436
- 127,830
Mimi tu ndio ninaruhusiwa humu kulewa na kuchati nyie mtakula ban za maisha😅😅😅😅Akilewa asichatiii 😅😅
Mimi tu ndio ninaruhusiwa humu kulewa na kuchati nyie mtakula ban za maisha😅😅😅😅Akilewa asichatiii 😅😅
Walevi tuna hekima mnoHahahaha kwa kasongo Dada
Sure bro 🤣🤣🤣Hata Mimi🤣
Ahaaa imenibidi nifungue pazia sasa na kuwasha kibatari 🤣🤣ðŸ˜ðŸ˜‚😂😂😂hata sijui nimeamua kubadili tuneView attachment 3403331
Kuna siku nusu niharibu humu 🤣🤣🤣🤣Mimi tu ndio ninaruhusiwa humu kulewa na kuchati nyie mtakula ban za maisha😅😅😅😅
Hahhahah haya ni maisha na uhai bro😇Acheni nikule maisha kufa kwaja
View attachment 3403335
Hebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi aruke nayoWalevi tuna hekima mno
Mimi naharibu kila mda ila walevi tunaomba msahama pombe ikikata then tunakula vitu kama kawa 😋😋😋😋Kuna siku nusu niharibu humu 🤣🤣🤣🤣
Kisa umeona toothpick😂Naona uhakika ushalalia na kuchomwa sana na toothpick 😂
Ahahaaa jau iyooSure lewa zingua kesho watake radhi🤣
Kwanini tena ma mtuAkilewa asichatiii 😅😅
Usimwache mnywa vyoda akae bar mpaka sa sita usiku , huwa wana mwanya wa umbea na unafki hasa pale unapo agiza pombe za 2mil za kitanzania ili kila mtu apate🤔Hebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi nayo
Ahahh au sioHebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi aruke nayo
Aaanhaaa sawa, mimi siyo mlevi 🤣ðŸ¤Mimi naharibu kila mda ila walevi tunaomba msahama pombe ikikata then tunakula vitu kama kawa 😋😋😋😋