Binti wa zamani
Platinum Member
- Nov 19, 2011
- 14,131
- 33,900
Kaka Mshana, wapi huko bar nzima uko yako?Huku niliko ukinunua nyagi ujazawadiwa jug la majiš
View attachment 3403245
Kaka Mshana, wapi huko bar nzima uko yako?Huku niliko ukinunua nyagi ujazawadiwa jug la majiš
View attachment 3403245
Mimi tu ndio ninaruhusiwa humu kulewa na kuchati nyie mtakula ban za maishaš š š šAkilewa asichatiii š š
Walevi tuna hekima mnoHahahaha kwa kasongo Dada
Sure bro š¤£š¤£š¤£Hata Mimiš¤£
Ahaaa imenibidi nifungue pazia sasa na kuwasha kibatari š¤£š¤£šššššhata sijui nimeamua kubadili tuneView attachment 3403331
Kuna siku nusu niharibu humu š¤£š¤£š¤£š¤£Mimi tu ndio ninaruhusiwa humu kulewa na kuchati nyie mtakula ban za maishaš š š š
Hahhahah haya ni maisha na uhai brošAcheni nikule maisha kufa kwaja
View attachment 3403335
Hebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi aruke nayoWalevi tuna hekima mno
Mimi naharibu kila mda ila walevi tunaomba msahama pombe ikikata then tunakula vitu kama kawa ššššKuna siku nusu niharibu humu š¤£š¤£š¤£š¤£
Kisa umeona toothpickšNaona uhakika ushalalia na kuchomwa sana na toothpick š
Ahahaaa jau iyooSure lewa zingua kesho watake radhiš¤£
Kwanini tena ma mtuAkilewa asichatiii š š
Usimwache mnywa vyoda akae bar mpaka sa sita usiku , huwa wana mwanya wa umbea na unafki hasa pale unapo agiza pombe za 2mil za kitanzania ili kila mtu apateš¤Hebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi nayo
Ahahh au sioHebu shusha hekima moja hapa Mwachiluwi aruke nayo