Selfika na JF: Snap it. Show it

Sina cha kupoteza tena dada ,nishapitia mengi kiasi kujifichaficha siwezi tena maana nahisi nisimulie moyo wangu uwe huru .
Tupambane japo ugonjwa huo bado sijapona nikiziotea lazima mtaa na kijiji chote wajue maana nikilewa lazima nikawasalimie hata waliofiwa miaka miwili nyuma πŸ€”

Tupambane yote kheri ,karibu dada.
 
Pole mkuu
 
Daktari bingwa huyo, hadithi zake usizitilie maananiπŸ˜…
Yeah Doctor wetu, basi napenda najua anachekesha. Anaweza kukwambia anatafuta mtu aliyeko huko, eti kakosa nauli ya kurudi job πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ ili mradi mpasuke mbavu. Niliwaunganisha mnywaji mwenzako huyo πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 
Hahah kwamba mimi na dokta tuna haiba zinazofanana🀣🀣🀣
 
Pole sana, tuko pamoja. Duniani tunapita. Kuna siku za furaha, huzuni ndiyo inafanya iwe dunia kamili. Kosa si kufanya kosa, kosa ni kurudia kosa. Tujitahidi japo ni kama shetani zile karatasi. Wakati unatoa, huoni zikipungua. Mpaka sifuri zinanze kupungua ndiyo unashtuka πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”πŸ˜”
 
Mzee wetu hajambo?, mpe Salam mwambia mwanae namsalimia na kumwombea kheri Sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…