βοΈ ya kuchangamsha kichwa after midnight!π΅π΅
Alafu nilikuwa nimejaa tele kwenye Karaoke π€
Kabla ya hapo nilikua nazunguka zunguka kila mahali...mara jiko la juu, mara la chini, mara counter...ili mradi tu we na
RRONDO mnione ila wapi!π€¦πΎββοΈ