Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,391
- 94,713
Mtoto mkareee wewe kapeace huna mpinzani kabisaa.!! 😹Nimecheka jf watuwekee voice chat aaaaiiii, asante kwa kunifurahisha na kunipamba namna hii!! 🤣🤣🤣🤣
Mwili umebalance huna kitambi, halafu lips 👄 sasa awwwweh babu ataacha kuvuta kiko mbona 😂😂😂