Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

🙄🙄🙄🙄unaleta uchonganishi nashukuru kamlango nimekafunga usiwatie jakamoyo wazee na ma aunt wa watu
Kwahiyo kusema ukweli uchonganishi? 🤣🤣🤣
Bana weeh mwenye hatimiliki ya babu ajitokeze hapa.! Kwani ma auntie nao wapo kwenye ligi ya babu?!! 😜

Em wajitokeze waseme wanacheza namba ngapi? 😂😂😂
 
Mtoto mkareee wewe kapeace huna mpinzani kabisaa.!! 😹
Mwili umebalance huna kitambi, halafu lips 👄 sasa awwwweh babu ataacha kuvuta kiko mbona 😂😂😂
Babu nae kafunga pm😂😂!!!
 
Kwahiyo kusema ukweli uchonganishi? 🤣🤣🤣
Bana weeh mwenye hatimiliki ya babu ajitokeze hapa.! Kwani ma auntie nao wapo kwenye ligi ya babu?!! 😜

Em wajitokeze waseme wanacheza namba ngapi? 😂😂😂
Babu ni wa wote kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
 
20241008_174508.jpg
 
Babu ni wa wote kila mtu ale kwa urefu wa kamba yake
Woyooooooooooooooooo.!!!
Hayo ndo maneno sasa mahi 😹😹😹

Babu ni wa wote mwenye cheti cha ndoa bibi peke yake, hao masuria ni mwendo wa mkanyagano..!
Asiyeweza ligi za babu awapishe akacheze ndondo cup wakagombee kombe la mbuzi.! 🤣🤣🤣

Ila babu yangu G mitano tenah 😹😹
Babu mibibi unayo na unatamba nayo, uhangaike kutafuta pesa ujanani na uzeeni ushindwe kula pension yako na warembo awweh sio kweli.!! 🤣🤣🤣
 
Kemia ili ujue kubalance matoke na dagaa 😹😹😹🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Ile combo sijui shangazi aliitolea wapi aisee
Eqqn yake haibalance kabisa
Shangazi anatengeneza mabomu mazito ya Nyuklia
 
Woyooooooooooooooooo.!!!
Hayo ndo maneno sasa mahi 😹😹😹

Babu ni wa wote mwenye cheti cha ndoa bibi peke yake, hao masuria ni mwendo wa mkanyagano..!
Asiyeweza ligi za babu awapishe akacheze ndondo cup wakagombee kombe la mbuzi.! 🤣🤣🤣

Ila babu yangu G mitano tenah 😹😹
Babu mibibi unayo na unatamba nayo, uhangaike kutafuta pesa ujanani na uzeeni ushindwe kula pension yako na warembo awweh sio kweli.!! 🤣🤣🤣
Babu lazima apatiwe joto joto ili aishi maisha marefu zaidi,
 
Kapeace tunaomba uselfike mahi mtoto mwenye figure yake mjini selfika..! 😹😹
Nkamu huyu mtoto mkali sana anachukua namba 1 mpk 3 zilizobaki ndo shangazi na wengine wagombaniane 😜🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️
Shangazi anazidi kutupwa mbali
Atajikuta hata top10 anaikosa

Haya Kapeace
Achia picha hizo🔥🔥🔥
Dada mzuri mwenye id yake ya upole🔥
 
Back
Top Bottom