Babu kwenye ndege gharama kubwa 😹😹Wacheki pia Isamilo bus
Au kama una haraka, pakia kwenye ndege kesho saa 6 Mchana utakuwa umefika, iwapo wakapakia kesho na ndege ya asubuhi kabla ya ku-connect na ndege ya DSM - Mwanza
😂😂😂 Bado kidogo kabakiza chacheKwahiyo saiv hauna chekelea tena
😂😂😂 Hapa kimenileta hiko cha kutuma parcel nisingekuja, jana nilikuwa busy jikoni mahi nimetengeneza had juisi za mwebrania 😹Bora uendelee kufungiwa niitie mwebrania
Mfate huko huko ndani ya bus km hataki kushuka 😂😂😂Hahaha............niko namsubiri hapa stendi 🤗
Nikuchangie ngapi?Babu kwenye ndege gharama kubwa 😹😹
Au nichangie basi babu 😜
Ngoja niwacheck hao Isamilo
Hahaha......ngoja nifanye hivyoMfate huko huko ndani ya bus km hataki kushuka 😂😂😂
Babu huyu lazima umpate kwanza pisi ya moto hii kuikosa ni sawa km hujaizunguka dunia 😹😹😹Hahaha......ngoja nifanye hivyo
Kwahiyo ndo umekuja kuzimalizia kwangu😂😂😂 Bado kidogo kabakiza chache
Wewe em tulia kwanza babu anakuzoom mbona uheshimu wazee?? 🤣🤣🤣Kwahiyo ndo umekuja kuzimalizia kwangu
Wee huogopi? Mjukuu tu naulizwa nichangiwe ngapi? Itakuwaje kwa bibi mwenyewe 😹😹Aaah wajukuu mnafaidi kuliko bibi zenu
Hii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana 🙌🙌Wee huogopi? Mjukuu tu naulizwa nichangiwe ngapi? Itakuwaje kwa bibi mwenyewe 😹😹
Mahi hebu mpelekee babu ugolo avute kwenye kiko yake 😂😂
😹😹😹 Ugwee nkamuSema Lamomy yupo ngangari
Mnawezana
😂😂😂 Mpelekee babu ugolo, ila mahi twende mbele tusirudi nyuma UMESIMAMAHii kazi unaiweza wewe uliyenishawishi mimi kutuma picha humu aaah hapana 🙌🙌
Wewe ndo unafanya nikose vocha za maboss humu, sa mi nna michongo na pesa gani? 😹😂😂😂😂😂
Mnapeana ubuyu huku unachomekea
Asikuchoshe sina jipya mi mwenyewe njaa tupu, we muone shangazi mke wa sele akupe mchongo 🤣🤣🤣Nkamu yupo busy na umbea
Labda BMoney nianze naye
Ugombee kitu gani?Wazee wameniomba nigombee,2025.View attachment 3118005