Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe😎

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili😏😏😏
😂🤣😁😁😁😁😁
 
Gorgeous, stunning, breathtaking, radiant 🔥🔥🔥
_20241004_012146_.jpg
 
Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe😎

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili😏😏😏
😂😂😂😂😂🤭🤭🤭🤭🙌🙌🙌🙌🙌
 
Mnafanana baadhi ya maeneo😄
Halafu babe nilipita sehemu kwenye uzi wa vita kumbe mpka kule uko smart na updated.❤️
Babe wangu, habari za dunia kiujumla namimi ni marafiki 😅😅😅 kabla sijaanza kazi, nazipitia napenda kuzijua. Huwa tu sipendi kucomment lile jukwaa wana ushindani wa kidini na si kimataifa zaidi. Ila likinifika hapa nachangia. Unafika kwingi babe wangu 🥰
 
Uko vizuri Hongera sana.
Hahaa kule kuna vita mara mbili. Hiyo yenyewe na vita ya team za JF.
 
Back
Top Bottom