Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe๐Ÿ˜Ž

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
 
Gorgeous, stunning, breathtaking, radiant ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ
_20241004_012146_.jpg
 
Kwani nyie ndo watoaji pesa?
Nyie wenyewe huwa mnadangaga pia.
Msituchoshe๐Ÿ˜Ž

Mtoto wa kiume unafungaje Pm?
Waambie wenzako wafungue Pm.
Mwanaume hana pesa, hana mvuto, kazi ya maana hana,mwanamke wa maana hana.....halafu anafunga Pm
Mtakosa madili๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿคญ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
 
Hapana babe. Huyo mrembo pande za Kagame, nimempenda tu alivyo. Mzuri kwa kila kitu. Mungu aliumba, mama yake akamzaa. ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ
Mnafanana baadhi ya maeneo๐Ÿ˜„
Halafu babe nilipita sehemu kwenye uzi wa vita kumbe mpka kule uko smart na updated.โค๏ธ
 
Mnafanana baadhi ya maeneo๐Ÿ˜„
Halafu babe nilipita sehemu kwenye uzi wa vita kumbe mpka kule uko smart na updated.โค๏ธ
Babe wangu, habari za dunia kiujumla namimi ni marafiki ๐Ÿ˜…๐Ÿ˜…๐Ÿ˜… kabla sijaanza kazi, nazipitia napenda kuzijua. Huwa tu sipendi kucomment lile jukwaa wana ushindani wa kidini na si kimataifa zaidi. Ila likinifika hapa nachangia. Unafika kwingi babe wangu ๐Ÿฅฐ
 
Uko vizuri Hongera sana.
Hahaa kule kuna vita mara mbili. Hiyo yenyewe na vita ya team za JF.
 
Back
Top Bottom