Tuone basi uhairThubutu yakeeee. Kuna watu hawajawahu kabisa kujua nywele zangu zinafananaje![]()


Nimependa kitu kutoka kwako
Anayehitaji mke bwana, kibabu kibabu hivi kisicho na stress.Mkweeer
Unataka ukitese kizee cha watu kijifie, urithi mali eenhAnayehitaji mke bwana, kibabu kibabu hivi kisicho na stress.

Hahaha...nothing serious
Mmeamkaje wakuu""View attachment 1283184
Hapana mkuu hii ni ya mahenge ulanga"hii ni ile road ya kuenda chunya mkuu??
Hapana mkuu hii ni ya mahenge ulanga"
Utaweza na huku unakula karanga kila jioni...Nijikute tuu jamani!!!
Bora nikuwe SINGO milele


Hahahahahaha
Niko gym
Asante mama kwa kunicheka najaribu kuifikia rangi yako 😄😄😄Mkorogo umedunda 😅😅😅
🙇🙇 Weusi tumebaki wachache dada pls usiondoke na weweAsante mama kwa kunicheka najaribu kuifikia rangi yako 😄😄😄