Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,431
- 94,847
Boss nasubiri vocha yani kweli auntie hii hutaki kupiga comeback mpambe wako nifurahi 😜Umeanza lini kuogopa kuselfika kwani???
Tupia hizooo hizoo Mimi sijaona foro zako zote uzoweka humu !
Kina Saint Anne nkamu wananitambia wamepewa vocha na boss wao 😰
Fanya jambo bossledi wangu mnjuri njuri mwenye figure lake, muke ya tajiri Smart 😍😍😍