Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Tajiri hana baya
Hashindwi kutupa za elfu5 kila mtu

Yaani
Tena vocha zake mi sikupataga hata Moja jamani
Niliona Uzi ukiwa imefungwa

Tajiri BL
Sema na simu yangu upate tabasamu
Woyooooooo!!!!
Hapaa tupoo sisi tyuuh, awekee tujizolee.
 
Utaipata kupitia kwa cocastic usijali mrembo, hilo limekwisha 😊
Coca hatanipa aisee
Yangu naomba tu pm yangu


Tajiri katema mgodi🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tajiri🔥🔥🔥
Mtu wa maana kabisa

Ona matajiri hawanaga maneno mengi 🔥🔥🔥🔥

Halafu haringi Wala nini 😍😍🔥🔥🔥
Haya sindikizia na kapicha 🔥🔥🔥
 
Back
Top Bottom