Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
Selfika mrembo Palina nikuone 😍mselfike jamani hii weekend 🤗🤗🤗
Selfika mrembo Palina nikuone 😍mselfike jamani hii weekend 🤗🤗🤗
Kwani ulikuwa wapi mpk umechoka hivyo 😜Niko hoi
Hata nguvu za kuselfika ninazo basi kuna yoyote aliyetupia?
Dollar ziko wapi? 😂Nimepewa vyote ila utajiri nimenyimwa Mungu huyu haina shida lakini tutatumia utajiri wa mashemela, mke wa rais nae ni rais hivyo yani
😂😂😂weekend leo ujue, halafu voda leo km umepakwa futa na yule mmarekani wa kuitwa didyKwani ulikuwa wapi mpk umechoka hivyo 😜
Walikubali hiyo hiyoDollar ziko wapi? 😂
Hivi ulikatisha kwa ngapi? Walikubali kwa 2740?
Mke wa tajiriiiiiiii shem sijamuona leo
Wifi yako mnywani.Wifi? 😳
Chino nitaacha sherehe nije kupigana ujue 😂😂😂
Yani nishapata replacement mapema hivi?! 😹
😂😂😂 Pole voda wanazingua kweli😂😂😂weekend leo ujue, halafu voda leo km umepakwa futa na yule mmarekani wa kuitwa didy
Leo wanaboa na hizi simu zenu za line moja itabidi nirudi kwenye infinix😂😂😂 Pole voda wanazingua kweli
Ndivyo atakavyo sasa kuitwa babu, nachojua mababu wote wana maokoto, ndo vile mlango haufungukiHapo kwenye babu ndio unamtibua shem 🤣🤣🤣
Shem bado kabisa damu inachemka huo ubabu kautoa wapi?
Hapo sawa 🤣🤣Wifi yako mnywani.
Naye kamiss vitu vyako ujue.
Tena pametulia
Ingia live kabisa kama enzi zile
Nasikia ulitupia na mimi naomba nionemo kidevu tu kinatoshaShangazi la ukweli Hilo.
Mi natumia tekno macho matatu mahi 😹Ya
Leo wanaboa na hizi simu zenu za line moja itabidi nirudi kwenye infinix
Ndio yake yapo kama plate za jiko, nilisoma sehemu ila watuuuuMi natumia tekno macho matatu mahi 😹
Wewe unazuga hapa, mshafunguliana Milango na babu uko mnabebishana kwa raha zenu 😜Ndivyo atakavyo sasa kuitwa babu, nachojua mababu wote wana maokoto, ndo vile mlango haufunguki
Nisingemtag hapo juu hata kunilike kaacha sijui nilimtisha nini,Wewe unazuga hapa, mshafunguliana Milango na babu uko mnabebishana kwa raha zenu 😜
Niungeni kwenye convo basi niwe nawaona mnavyosisitizana kunywa dawa za presha kwa wakati 🤣🤣
🤣🤣🤣🤣 Hakuna kupitwa hiyo.. nikiona nachekaga.!M
Ndio yake yapo kama plate za jiko, nilisoma sehemu ila watuuuu
Itakuwa wambea wamemtisha 🤣🤣🤣Nisingemtag hapo juu hata kunilike kaacha sijui nilimtisha nini,