Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,429
- 94,851
Bl aje na vocha kwanza tajiriiiiiiiiii toto la kimanga kabarikiwa uzuri mpk utajiriii malkia wa Sheba huyu.!!Kapeace ndani ya mjengo😍🔥🔥🔥🔥🔥🔥
Tunasubiri Selfie
Na Bantu Lady naye tumemmiss sana jamani
Tubakancie Uzi na selfie zenu🔥
Huyu Kapeace mahi wangu naye aje hapa tajirii anamiliki dollar tupu.! 😜
Waje matajiri wetu wa selfika, wamepewa uzuri mpk pesa awwwwh tuna raha humu 😹