Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,249
Hawa sasa ukisikia Mungu kawapa vyote ndio hawaBl aje na vocha kwanza tajiriiiiiiiiii toto la kimanga kabarikiwa uzuri mpk utajiriii malkia wa Sheba huyu.!!
Huyu Kapeace mahi wangu naye aje hapa tajirii anamiliki dollar tupu.! 😜
Waje matajiri wetu wa selfika, wamepewa uzuri mpk pesa awwwwh tuna raha humu 😹
Uzuri
Pesa za jumla
Roho nzuri
🔥🔥🔥🔥🔥🔥😍😍
Waje na picha kaliii kama kawaida yao
Tunawasubiri