Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 78,518
- 235,234
Auntie alisema kwake ni mwisho reliShangazi nilijua toto kutoka dubenga au mwarabu wa Oman 😜
Auntie wa moto hapoi, fashion killer..
Kila outfit inakubali haikatai sijui mnanielewa nikisema auntie Hana mpinzani??
Kwa sele yupo sana
Mbili 25
Mbili 26
Mbili 27
Mbili 28 mpk mbili 30 oyoooooooooo.!!! 🤸♂️🤸♂️😹😹
Bwana atazunguka weeeh halafu atarudi
Hajaree wala nini.
Shangazi hata akivaa gunia linamkaa..body ya nguo hiyo.