sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 26, 2024 #394,421 Kapeace said: Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutosha Click to expand... π€£π€£π€£π€£ Kwann mfunge piem?? Ela tutatumaje Kama mmefunga njia
Kapeace said: Sasa hadi wanaume wanafunga pm?? Wanaficha nini? Wanawake sawa tena inatakiwa yawepo makomeo ya kutosha Click to expand... π€£π€£π€£π€£ Kwann mfunge piem?? Ela tutatumaje Kama mmefunga njia
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,422 sumbai said: π€£π€£π€£π€£ Kwann mfunge piem?? Ela tutatumaje Kama mmefunga njia Click to expand... Yani ndo hivyo tunapishana na magari ya mshahara, ila wewe naona hujafunga saiv nakagua wakaka waliofunga pm, kwanini lakini?
sumbai said: π€£π€£π€£π€£ Kwann mfunge piem?? Ela tutatumaje Kama mmefunga njia Click to expand... Yani ndo hivyo tunapishana na magari ya mshahara, ila wewe naona hujafunga saiv nakagua wakaka waliofunga pm, kwanini lakini?
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 26, 2024 #394,423 Kapeace said: Mi nashida ya kujua dola, Click to expand... Zimepanda kiasi
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,424 Vincenzo Jr said: Zimepanda Click to expand... Nambie basi km siku ile! Ili nifanye maamuzi
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 26, 2024 #394,425 Kapeace said: Yani ndo hivyo tunapishana na magari ya mshahara, ila wewe naona hujafunga saiv nakagua wakaka waliofunga pm, kwanini lakini? Click to expand... Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli??
Kapeace said: Yani ndo hivyo tunapishana na magari ya mshahara, ila wewe naona hujafunga saiv nakagua wakaka waliofunga pm, kwanini lakini? Click to expand... Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli??
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 26, 2024 #394,426 Mkuu wewe hujafunga piem Vincenzo Jr said: Zimepanda kiasi Click to expand...
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,427 sumbai said: Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli?? Click to expand... Ngoja nimkague halafu wanajiita wazee!! Wazee wanaficha nini hawa? Hajafunga bahati yake
sumbai said: Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli?? Click to expand... Ngoja nimkague halafu wanajiita wazee!! Wazee wanaficha nini hawa? Hajafunga bahati yake
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 26, 2024 #394,428 Kapeace said: Nambie basi km siku ile! Ili nifanye maamuzi Click to expand... forex | CRDB Bank Plc Cheki hapo juuu ππ
Kapeace said: Nambie basi km siku ile! Ili nifanye maamuzi Click to expand... forex | CRDB Bank Plc Cheki hapo juuu ππ
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,429 Vincenzo Jr said: forex | CRDB Bank Plc Cheki hapo juuu ππ Click to expand... Ubarikiwe mpaka ushangae
Vincenzo Jr said: forex | CRDB Bank Plc Cheki hapo juuu ππ Click to expand... Ubarikiwe mpaka ushangae
Grahams JF-Expert Member Joined Mar 19, 2016 Posts 18,907 Reaction score 57,705 Sep 26, 2024 #394,430 sumbai said: Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli?? Click to expand... Piemu yangu ipo wazi lakini sijawahi kupewa salamu hata Kwa bahati mbaya π Kweli Wazee hatuna bahati π€
sumbai said: Nifunge piem??? Alafu picha za warembo tazipataje?? Chek mzee Grahams hajafunga piem kweli?? Click to expand... Piemu yangu ipo wazi lakini sijawahi kupewa salamu hata Kwa bahati mbaya π Kweli Wazee hatuna bahati π€
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 26, 2024 #394,431 sumbai said: Mkuu wewe hujafunga piem Click to expand... Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm
sumbai said: Mkuu wewe hujafunga piem Click to expand... Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 26, 2024 #394,432 Kapeace said: Ubarikiwe mpaka ushangae Click to expand... Inshallah na kwako pia ndugu yangu
Kapachino JF-Expert Member Joined May 23, 2019 Posts 3,508 Reaction score 8,720 Sep 26, 2024 #394,433 Lamomy said: πππ kawakomesha Click to expand... Aliwakomesha wengine Mimi mwenyewe kibaka mstaafu Alafu kalivo kabwege kanaomba hela ndogo ndogo ili isiwe rahisi kuchomoa
Lamomy said: πππ kawakomesha Click to expand... Aliwakomesha wengine Mimi mwenyewe kibaka mstaafu Alafu kalivo kabwege kanaomba hela ndogo ndogo ili isiwe rahisi kuchomoa
Kapeace JF-Expert Member Joined May 26, 2017 Posts 25,624 Reaction score 69,381 Sep 26, 2024 #394,434 Vincenzo Jr said: Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm Click to expand... Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee
Vincenzo Jr said: Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm Click to expand... Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee
sumbai JF-Expert Member Joined Jun 16, 2014 Posts 20,890 Reaction score 47,611 Sep 26, 2024 #394,435 Vincenzo Jr said: Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm Click to expand... π
Vincenzo Jr said: Ukiona mtoto wa kiume kafunga piem huyo ana Dalili za kuwa YAI YAI Kwa Nini nifunge pm Click to expand... π
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Sep 26, 2024 #394,436 Countrywide said: Kwanza nile nishibe View attachment 3107469 Click to expand... Jmn mbona hivi unanitamanisha
Countrywide said: Kwanza nile nishibe View attachment 3107469 Click to expand... Jmn mbona hivi unanitamanisha
Vincenzo Jr Platinum Member Joined Sep 23, 2020 Posts 32,375 Reaction score 80,246 Sep 26, 2024 #394,437 Kapeace said: Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee Click to expand... Wanazingua sana Bora wanawake ndio wafunge maana wanapata usumbufu sana na vijana wa hovyo Usd ipo vizuri ila sizani kama itakujaga kuikuta euro β¬ au paundi ya malikia wa uingereza
Kapeace said: Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee Click to expand... Wanazingua sana Bora wanawake ndio wafunge maana wanapata usumbufu sana na vijana wa hovyo Usd ipo vizuri ila sizani kama itakujaga kuikuta euro β¬ au paundi ya malikia wa uingereza
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,097 Sep 26, 2024 #394,438 Kapachino said: Aliwakomesha wengine Mimi mwenyewe kibaka mstaafu Alafu kalivo kabwege kanaomba hela ndogo ndogo ili isiwe rahisi kuchomoa Click to expand... πππ kasema anazo pic zako ananitumia Ila ini mjanja sana, kasema ni maisha tu ya kitaa magumu, halafu kuna mtu ndo alimpa mchongo kwamba JF mabwege wengi njoo upige pesa πΉπΉ
Kapachino said: Aliwakomesha wengine Mimi mwenyewe kibaka mstaafu Alafu kalivo kabwege kanaomba hela ndogo ndogo ili isiwe rahisi kuchomoa Click to expand... πππ kasema anazo pic zako ananitumia Ila ini mjanja sana, kasema ni maisha tu ya kitaa magumu, halafu kuna mtu ndo alimpa mchongo kwamba JF mabwege wengi njoo upige pesa πΉπΉ
Lamomy JF-Expert Member Joined Sep 4, 2023 Posts 36,276 Reaction score 87,097 Sep 26, 2024 #394,439 Kapeace said: Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee Click to expand... Mbona wanawake wengi pm ziko wazi ππ Ila wengi kina Ini πΉ
Kapeace said: Yani mi najiuliza wanapata ghasia zipi mpaka kuamua kufunga, sie wanawake inajulikana dhoruba tunazokutana nazo sasa na nyie!! Usd imepanda lakini si sana kama mwezi wa 2-7 ebanaeee Click to expand... Mbona wanawake wengi pm ziko wazi ππ Ila wengi kina Ini πΉ
Tayana-wog JF-Expert Member Joined Feb 26, 2012 Posts 28,877 Reaction score 37,676 Sep 26, 2024 #394,440 Lamomy said: Huyo tajiriii Hana konakona kanyooka ohh π€£π€£ Mi nataka kuanza week-end mapema sitaki stress πΉ fanya chap tena umjibu kwa adabu mh π€£ Click to expand... Ktk uBora wako π€£
Lamomy said: Huyo tajiriii Hana konakona kanyooka ohh π€£π€£ Mi nataka kuanza week-end mapema sitaki stress πΉ fanya chap tena umjibu kwa adabu mh π€£ Click to expand... Ktk uBora wako π€£