Tatizo tunakimbizana na pesa hatuko active sana siku hizi humu, mwisho wa mwaka na sisi km wachaga tunafunga hesabu tumeongeza nini kwa mwaka mzima..! πΉ
Nimepita mara moja kuwapa hi haya waselfike sasa tuanze, vipi shangazi alikuja kwenye mchuano? π€£π€£π€£