6 years
Jana asubuhi nivoamka niliona vipele kama viwili hivi ameenda shule amerudi jioni naona vimeongezeka viwili vitatu kuamka asubuhi Alooooooohh vimejaa!
Nimempeleka hospitali wamempa dawa kama lotion hivi ya kupaka na tablets!
Ni watoto wengi wanavo inaonekana vinaambukiza kwani kuna watoto anaocheza nimeambiwa nao walikua navyo!
Huku Ni kama ugonjwa wa msimu especially kwa Watoto
Muhas itamtoa roho acha aendekeze ujinga wake
Kuna watu walisubiria muhas hadi wanazeeka na hawakupata
Chuo Cha kata walichokataa Nako wakakosa
Huku wenzao katani tushamaliza.
Huku mtaani Ngoma droo
Hakuna cha ulisoma wapi
Ufanisi wako ndio unaokubeba.
Nenda Playstore download Tapatalk afu join kwa email yako unayotumia jf utatumia kama app jf ipo Tapatalk kama host na Kuna forums zingine mbalimbali za duniani