Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ odo hizo pisto Mashallah
Nyie Mungu anaumba km umeshushwa!!
Awwwwhh shem kajipata jamani had hips don lie zipo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sie tuliodondokea bafuni turudi tukafanyike upya ๐Ÿ˜ฅ
Ulishakufa ukafufuka wewe
 
Sijapitwa Leo
Uwiii๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅ๐Ÿ”ฅAiseee
dada ana shepu ya kibantykama jina lako
Leo hujapitwa kipenzi, ujasiri wako wa kuselfika, umenishawishi pia ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ๐Ÿฅฐ
 
Yupo mzigoni unamuharibia utulivu mahi wangu,

Hiyo mahi inanikumbushaga clip za pastor mgogo anavyoitamka
Mzigoni??
Kwani mko wapi? ๐Ÿ˜œ
Nyie hamuogopi leo maandamano si msubiri kesho jamani ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜ odo hizo pisto Mashallah
Nyie Mungu anaumba km umeshushwa!!
Awwwwhh shem kajipata jamani had hips don lie zipo? ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚

Sie tuliodondokea bafuni turudi tukafanyike upya ๐Ÿ˜ฅ
Unajua Odo nacheka, sijui haya maneno unayatoaga wapi jamani. Hakuna tena nimejipunguza, zimeisha kabisa. Siku nitakutumia TBT.
Wewe ulivyo vizuri vile, mshukuru Mungu kipenzi. Umemuona shemeji yako. Kanishtukiza na picha sikujiandaa ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ๐Ÿคฃ
 
Yani ana maneno km kiredio
 
Back
Top Bottom