Kapeace
JF-Expert Member
- May 26, 2017
- 25,912
- 70,666
Ngoja nilale mie kabla kisukari hakijapanda😂😂😂Amani itoke wapi watu wanatekwa 😂😂😂
Mahi Nkamu wangu ana kitu kimemkaba nataka nimsaidie akitoe.!!
Ujue kukaa na kitu moyoni sio vizuri unaweza kupata kiungulia 🤣🤣🤣