Selfika na JF: Snap it. Show it

Selfika na JF: Snap it. Show it

Mi najikubali mpk shetani ananiogopa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Niko flat halafu nimekauka km kuni ya kiangazi ila na ole wake nipite mtu anicheke naokota mjiwe nampopoa nao ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
Sidhani km umekauka namna hiyo, macho hayajawahi kutosheka, unakutana na mtu km BL ukikutana na mange tena unageuka, mi naona na mavazi ukijijulia unapendeza ndo maana mademu wote wana mabwana
 
Sidhani km umekauka namna hiyo, macho hayajawahi kutosheka, unakutana na mtu km BL ukikutana na mange tena unageuka, mi naona na mavazi ukijijulia unapendeza ndo maana mademu wote wana mabwana
Kabisa umeongea sawa kabisa. Kila mtu ana uzuri wake, kila mtu yuko unique kwa vitu tofauti, katika mwili hata uso.
 
Haya weka hata niko quote ukifuta haionekani tena.!! Ww weka halafu ntakwambia jinsi ya kufuta ๐Ÿ˜๐Ÿ˜๐Ÿ˜
Weka tumrushe roho the monk ๐Ÿ˜น
We mavi kweli nani kakwambia uniite huku ujue nilishagaugaya huu uzi
 
Kumbe ukiiacha muda mrefu haifutiki mwalimu wangu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Mzee wa hall V ataikuta kwenye comment yako ๐Ÿ˜ฅ
Haha inafutika bana
Punguza uwoga.

Nimekuja wakati muafaka sana.
Afu gym unaenda kufanya nini aisee; wazee wa kuzoom utatukosea sana
 
Kabisa umeongea sawa kabisa. Kila mtu ana uzuri wake, kila mtu yuko unique kwa vitu tofauti, katika mwili hata uso.
Yani km mimi ndo ningekuwa mwanaume ningeitwa fisi nikienda town kuna vidada vimodo naviangalia vilivyo vizuri, nikikutana na tinginya tena napo namsifia kimoyoni nikiona aliyevaa akanoga nae namsifia sijulikani napenda nini
 
Sidhani km umekauka namna hiyo, macho hayajawahi kutosheka, unakutana na mtu km BL ukikutana na mange tena unageuka, mi naona na mavazi ukijijulia unapendeza ndo maana mademu wote wana mabwana
Mahi hayo tuache ๐Ÿ˜ฅ
Mi hata Mange ana nafuu ni hatari tupu ๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น
 
Back
Top Bottom