Aaliyyah
JF-Expert Member
- Mar 20, 2022
- 19,988
- 48,486
🤣🤣🤣Huna jema wew hebu sema Asante hukoUzuri niutoe wapi 😂😂😂
Mnaanza kunijaza
🤣🤣🤣Huna jema wew hebu sema Asante hukoUzuri niutoe wapi 😂😂😂
Mnaanza kunijaza
😅😅😅hamnipatiKumbe ukiiacha muda mrefu haifutiki mwalimu wangu 😂😂😂😂😂
Mzee wa hall V ataikuta kwenye comment yako 😥
Kachoka leo alikuwa busy kuzuia maandamano 🤣🤣🤣Asije tu
Kila nikimuona naanza kucheka 😂
Kwendaaa uongo tuMahi hayo tuache 😥
Mi hata Mange ana nafuu ni hatari tupu 😹😹😹
Maisha yenyewe ndo haya haya mahi wewe weka tuone uumbaji hapa 😍😍😍We mavi kweli nani kakwambia uniite huku ujue nilishagaugaya huu uzi
😂😂😂 si nasema ukweli🤣🤣🤣Huna jema wew hebu sema Asante huko
We Leo hujaweka mapishi??Mbna Huwa inafutika au simuyako tu
Kweli mahi 😂😂😂Kwendaaa uongo tu
Nimekuwakilisha vyema mzee.Chino nimeitwaa
Nenda post 392,981. Click Attachment mzee wa hall VNimekubali nimechelewa.
Ila Chino ameniwakilisha vema.
Mtoto mzuri😂😂😂 si nasema ukweli
Mi mdomo unanibeba
ndioserious?
Mpige na nyingine mzee wa hall vNenda post 392,981. Click Attachment mzee wa hall V
Hiyo Age huku haiko na adabu kabisa ni vi-too much jangiri ,hamna kitu mtafanya.
Aulizwe huyo mpuuzi lamomyDuh!!
Dada habari za leo?