Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Leo hujapitwa kipenzi, ujasiri wako wa kuselfika, umenishawishi pia 🥰🥰🥰Sijapitwa Leo
Uwiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Aiseee
dada ana shepu ya kibantykama jina lako
Leo hujapitwa kipenzi, ujasiri wako wa kuselfika, umenishawishi pia 🥰🥰🥰Sijapitwa Leo
Uwiii🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥Aiseee
dada ana shepu ya kibantykama jina lako
Kapeace shem kaweka ndinga, sasa hapa uhakika wa maisha tunao shogire Mungu atupe nini sie 😂😂😂
Shem hiyo dualis 😜
Sawa mdogo wanguMhmmm.!! Wee bana acha kuokoteza story, mi nna bwana mmoja na ndiye aliyezindua album hiyo mizimu siijui usitake kunivunjia penzi langu 😂😂😂
Kuna mtu aliniweka humu wiki 3 zilizopitaNakujua kipenzi huna baya kabisa 🥰🥰🥰 natamani nawewe utupie nikuone mrembo wangu.
Mzigoni??Yupo mzigoni unamuharibia utulivu mahi wangu,
Hiyo mahi inanikumbushaga clip za pastor mgogo anavyoitamka
😂😂😂 hapana naomba nirudi kwa Sir God nikafanyike upya..!Ulishakufa ukafufuka wewe
Zege halilaliMzigoni??
Kwani mko wapi? 😜
Nyie hamuogopi leo maandamano si msubiri kesho jamani 🤣🤣🤣
Uongo 😂😂😂Yakukodi hata sijui aina gani
Lamomy huyu kaweka rekodi, kazi kwako kuvunja
Kikubwa mashine si ipo😂😂😂 hapana naomba nirudi kwa Sir God nikafanyike upya..!
Shape km mkangafu 😹😹
Nani huyo? Mahi una siri mbona mi sijaona 😥Kuna mtu aliniweka humu wiki 3 zilizopita
Anasukuma ngoma nzito kuliko hiyo nilishamfuma sehemu anaulizia kituUongo 😂😂😂
Muda wako sasa huu kijana kumuweka shemeji ili kaka yako nimuone.oh my gosh
😍😍 mh kumbe Mungu ajakunyima kakupa nyama tajiri wa nyama masikini wa mifupa uko vyeedi sana
Unajua Odo nacheka, sijui haya maneno unayatoaga wapi jamani. Hakuna tena nimejipunguza, zimeisha kabisa. Siku nitakutumia TBT.😍😍😍 odo hizo pisto Mashallah
Nyie Mungu anaumba km umeshushwa!!
Awwwwhh shem kajipata jamani had hips don lie zipo? 😂😂😂
Sie tuliodondokea bafuni turudi tukafanyike upya 😥
Kwahiyo mnafanya mchezo mbaya now? 😊Zege halilali
Nzuri ndugu yangu. Za masiku tele.Dada habari?
Yani ana maneno km kiredioUnajua Odo nacheka, sijui haya maneno unayatoaga wapi jamani. Hakuna tena nimejipunguza, zimeisha kabisa. Siku nitakutumia TBT.
Wewe ulivyo vizuri vile, mshukuru Mungu kipenzi. Umemuona shemeji yako. Kanishtukiza na picha sikujiandaa 🤣🤣🤣🤣🤣
Mashine nayo ufanyaji wake wa kazi wa kusuasua 😂😂😂Kikubwa mashine si ipo
Na umeamini😅😅Nani huyo? Mahi una siri mbona mi sijaona 😥