Bantu Lady
JF-Expert Member
- Jan 9, 2014
- 9,871
- 32,689
Odo mbavu zikipata tatizo, nakuja kwako uniuguze haki tena. Leo hizo pbe zimetosha, yaani unanichekesha. Ngoja nianze namimi hapa na BAILEYS yangu.Hii couple ya pesa mnafokeana tyuu na ndingaz 😂😂
Wengine tunafokeana na maneno khaaa.!! 😹😹😹