Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 39,504
- 95,030
😂😂😂 pm mpya hao wambea usiwasikilize watakuponza.. em ning’ate sikio kasemaje? 😜ahahaah kuna kitu nimeambiwa uko pm na pm mpya that why najitamba au unataka ku.iloga
😂😂😂 pm mpya hao wambea usiwasikilize watakuponza.. em ning’ate sikio kasemaje? 😜ahahaah kuna kitu nimeambiwa uko pm na pm mpya that why najitamba au unataka ku.iloga
Odo mbavu zikipata tatizo, nakuja kwako uniuguze haki tena. Leo hizo pbe zimetosha, yaani unanichekesha. Ngoja nianze namimi hapa na BAILEYS yangu.Hii couple ya pesa mnafokeana tyuu na ndingaz 😂😂
Wengine tunafokeana na maneno khaaa.!! 😹😹😹
Usipige magari ya watu 😂😂😂ngoja na mm niwalipe
🤣🤣🤣🤣 anafurahia the way tuna communicate hapa as if tunajuana kapenda ucheshi wangu😂😂😂 pm mpya hao wambea usiwasikilize watakuponza.. em ning’ate sikio kasemaje? 😜
shida si kuwalipa jamanUsipige magari ya watu 😂😂😂
Njoo nikuuguze najua nitakuwa na uhakika wa pesa.. 🤣🤣🤣Odo mbavu zikipata tatizo, nakuja kwako uniuguze haki tena. Leo hizo pbe zimetosha, yaani unanichekesha. Ngoja nianze namimi hapa na BAILEYS yangu.
JF kichaka chenye wanyama wakali wanaku-trap ww kenua tu.!! 😂😂😂🤣🤣🤣🤣 anafurahia the way tuna communicate hapa as if tunajuana kapenda ucheshi wangu
muwe.mnatuma.kama.attachment
ahhaaJF kichaka chenye wanyama wakali wanaku-trap ww kenua tu.!! 😂😂😂
Inafutika bana, ww nenda kwenye post then edit, deleted pic kazi kwishaaa
Nimesha futa bosslady ya vocha basi 😄
Punguza njaa mtoto wa kiume 😂😂Nimesha futa bosslady ya vocha basi 😄
Njaa haina jinsia 😄Punguza njaa mtoto wa kiume 😂😂
Yako imezidi 🤣🤣Njaa haina jinsia 😄
dah jmn 🤣🤣Punguza njaa mtoto wa kiume 😂😂
SIjala siku 3 😄Yako imezidi 🤣🤣
Hii ni hatari.😄Me & my babe leo tutakavyojipongeza kwa ushindi wa Yanga 😂😂😂
Kazini kwetu kuna kazi leo Shem 🤣🤣🤣Hii ni hatari.😄