Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 33,487
- 65,822
haya ngoja nikae lwa utuo😂😂😂 tulia basi
haya ngoja nikae lwa utuo😂😂😂 tulia basi
Kunywa basi, nataka nikaimbe na band 🤣🤣nahapo sijanywa pombee we uogop🤣🤣
Mlevii wa kutupwaaa wee,Hivi mnaokunywaga flying fish mnalewa, mnalewaje?? Mimi hapa nakaribia kufikisha 15 sioni chochote aisee!! Hizi juice zenu mnaziweza wenyewe![]()





Coca sasa mbona kila wakati upo jf, unaogopa nn?😂Utajiriii ninao na natambaaa nao.![]()
🤣🤣🤣 ngoja leo nijaribu pombe kwa ajili ykKunywa basi, nataka nikaimbe na band 🤣🤣
Cantriiii, mbonaa JF siko kila siku? Nna siku 4 sikuwepo humu, si nimekujaa juziii?Coca sasa mbona kila wakati upo jf, unaogopa nn?![]()








Basi nisamehe yaishe sirudii tena🙌Cantriiii, mbonaa JF siko kila siku? Nna siku 4 sikuwepo humu, si nimekujaa juziii?
Nweiiiiii, in4 za JF nazipata hata nikiwa nje ya humu, km una jambo unaloo bora usemee tyuuh, huko kusubiri kwako km umesimamaa, basi tandika jamvi ulaleee.
Sina cha kuogopa wala wa kumuogopaaa!!! Wapeeee salaaaamuuuu.
Kuna cocaa m1 tyuuh,![]()
Wee rudia mara nyingii uwezavyooo, hii leo unauliza ya 2.Basi nisamehe yaishe sirudii tena![]()




ila Cantriii, mie mbna huko nilishavukaa zamaniii..😁😁😁😁😁Wee rudia mara nyingii uwezavyooo, hii leo unauliza ya 2.
ila Cantriii, mie mbna huko nilishavukaa zamaniii..
Woiiiiiiiih
Woyooooooo!! Tajiriiii nakuja kukopa 😘Utajiriii ninao na natambaaa nao.![]()
Kweli uduguu flying fish naona km juice tyuu.!! 😂😂😂Mlevii wa kutupwaaa wee,![]()
Chonde chonde usije kutoa siri zako 🤣🤣🤣🤣🤣 ngoja leo nijaribu pombe kwa ajili yk
qhahah ww ushaona wap mtu akilewa anatoa siri zake ushawaio Ona anatoaga za watChonde chonde usije kutoa siri zako 🤣🤣
Weka picha wewe sio picha ya aisikrimu, picha kama pichaUmeonaee, enjoy. Next weekend naweza kuwa hapo kwa band. Najuaga wewe ni mlevi wa band kama mimi. Napenda live band dah
Ujee harakaa sanaa uduguu ake, afu bilaa ribaa,Woyooooooo!! Tajiriiii nakuja kukopa![]()





Juice? Kunae kidampaa akinywaga hiyp, bas atarandukaa had mshangae.Kweli uduguu flying fish naona km juice tyuu.!!![]()




