Lamomy
JF-Expert Member
- Sep 4, 2023
- 36,241
- 86,943
Niambie bathiiiii nawe 😂😂Umeanzaaaaa,![]()
Niambie bathiiiii nawe 😂😂Umeanzaaaaa,![]()
Kunywa unimwagie siri 😂😂😂najitahidi kutokunywa pombe
hapana ww nishajaribugi kunywa kichwa kiliumaa sanaKunywa unimwagie siri 😂😂😂
UsijaliNiko makini ndio 😂😂
Weka basi chinno, halafu mbona nakubembeleza sana?? 😏
mimi ni mgeni hili jukwaa mkuu😄Em anza yako kwanza..!
Mi kuchangamka humu ni kila siku ww mgeni kwani??
Shem kama shem. Weekend umempeleka wapi, mtoto mzuri Lamomy.Bantu mavocha bosslady
Nasubiri 😍Usijali
Neno lako Sheria kwa chino
Mhm!! Thubutuuu 🤣🤣🤣mimi ni mgeni hili jukwaa mkuu😄
Lamomy yupo outing na mdogo ake hataki shazi😂Shem kama shem. Weekend umempeleka wapi, mtoto mzuri Lamomy.
Huwa unaibuka ghafla tu, hiyo kikiboxer unaifanya ama?Oya mtoto mzuri Bantu Lady unacheka nini?
Ila wewe 😂😂Shem kama shem. Weekend umempeleka wapi, mtoto mzuri Lamomy.
Fanya ivoShem kama shem. Weekend umempeleka wapi, mtoto mzuri Lamomy.
ahahahah ase nimecheka sana aseee😆😆😆😆😂😂😂
Tupo capetown na Mwachi tunacheza live band
ase nimecheka sana 🤣🤣🤣Lamomy yupo outing na mdogo ake hataki shazi😂
Uzuri najua ulipo😁😁😂😂😂
Tupo capetown na Mwachi tunacheza live band
ahahahahha naangalia miguu nimekalili😂😂😂 umeanza kufananisha watu