Chino wee msikilize tu Lamomy, huyo tajiri wa Kikinga. Kariakoo iko mkononi kwake. Sasa mimi hata duka moja sina hapo Kariakoo. Yeye ndiyo atupe sisi mitaji.
Huwa nikiiangalia hii mada nacheka sana maana sidhani kama kuna mada imepita misukosuko na vifungo vifupi na virefu kama hiiπView attachment 3094544