Samantha Lewthwaite
JF-Expert Member
- Sep 11, 2024
- 298
- 731
Is me😁Who is 😎😂😁 Samantha Lewthwaite
Is me😁Who is 😎😂😁 Samantha Lewthwaite
Amen Mjukuu 🙏🙏🙏ishallah babu 😅😅😅😅😅
Hahahaha mzee ulitisha saaana.Fb leo wamenikumbusha!! Miaka ishirini na moja iliyopita hiyo. Oya we mzee sumbai ulikuwa wapi na Bantu Lady those days.
View attachment 3093473
Lamomy wangu ndio ndio alikua ameanza kutambaa
Wee....Wakat upo sitimbi chino mm wakat huo nipo form one D
Assalamualaikum tajiri yangu huna baya pokea salamu zangu kutoka kigambonino 😎😎😎😅😅😅😅😅 Chino nikupe mji, uniambie wewe ni yupi hapo.
Karibu sana kigamboni hapa tupate supu nzito ya kongoro na chapati mixer bia ya safari lagaaa😎😎😎Is me😁
Karibu Zanzibar piaKaribu sana kigamboni hapa tupate supu nzito ya kongoro na chapati mixer bia ya safari lagaaa😎😎😎
Huo mchanganyiko hatari Kwa afyaKaribu sana kigamboni hapa tupate supu nzito ya kongoro na chapati mixer bia ya safari lagaaa😎😎😎
JF ina watu bhana Sama whaaaaaatWho is 😎😂😁 Samantha Lewthwaite
LewthwaiteJF ina watu bhana Sama whaaaaaat
Embu tupia basi Samaaaa ☺️Lewthwaite
Mashallah 😍 😍 kizimkazi aisee naja huko soon naingia hapoKaribu Zanzibar pia
Utaniambia nini weweWakat upo sitimbi chino mm wakat huo nipo form one D
Mtoto wa kizenzibar huyo kizimkazi finest aisee mashallah sana huyo😎😎JF ina watu bhana Sama whaaaaaat
Nipo unguja mmMashallah 😍 😍 kizimkazi aisee naja huko soon naingia hapo
Ngoja tusubiri ya Bantu LadyThose years back..
Kapachino hapo hamu kubwa ilikuwa graduu iishe, tucheze mziki...
Trending song ilikuwa mtoto idi
View attachment 3093575