EEX
JF-Expert Member
- Oct 19, 2014
- 4,132
- 13,382
Mti mkavu huu ,nikiona mambo yamezidi maji mengii sanaa na supu ya mkia naanza upya tena.😀😀😀Usije kushindwa kutembea
Mti mkavu huu ,nikiona mambo yamezidi maji mengii sanaa na supu ya mkia naanza upya tena.😀😀😀Usije kushindwa kutembea
Duh 😃😃😃Mti mkavu huu ,nikiona mambo yamezidi maji mengii sanaa na supu ya mkia naanza upya tena.
Ndio shughuli zangu,ndio kazi zangu nazozipendaa.Duh 😃😃😃
u r welcomeLeo ntalala mlango wazi😄😄
ishallah babu 😅😅😅😅😅Hello Mjukuu, hujambo?
Babu yenu nimetingwa na shughuli za Kilimo tu, ila niko buheri wa afya 🤗
Mambo 😎ishallah babu 😅😅😅😅😅
saf mambowMambo 😎
Uko gudi ?saf mambow
absolutelyUko gudi ?
Karibu sana kigamboniabsolutely
Una mtu?
Una mtu?
Nje ya hapa 😂 😁 😎😎😎Wa jf?
😅😅😅😅😅 Chino nikupe mji, uniambie wewe ni yupi hapo.Fb leo wamenikumbusha!! Miaka ishirini na moja iliyopita hiyo. Oya we mzee sumbai ulikuwa wapi na Bantu Lady those days.
View attachment 3093473
Lamomy wangu ndio ndio alikua ameanza kutambaa
Usiniambie macho yako yamekufa mbantu!! Angaliaa vizuri hebu😅😅😅😅😅 Chino nikupe mji, uniambie wewe ni yupi hapo.
Tayari nimeshaangalia vizuri, ulishaanza ubishoo umekula ndula mwenyewe 😂😂😂😂😂Usiniambie macho yako yamekufa mbantu!! Angaliaa vizuri hebu
Wakat upo sitimbi chino mm wakat huo nipo form one DFb leo wamenikumbusha!! Miaka ishirini na moja iliyopita hiyo. Oya we mzee sumbai ulikuwa wapi na Bantu Lady those days.
View attachment 3093473
Lamomy wangu ndio ndio alikua ameanza kutambaa