Kwani wanatupia pic wapate mademu??
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoani huko hajizastawi
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie