Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 71,977
- 177,200
Forever and alwaysssssssss Min
Saivi nipooo online
Kaya fanya manuva Usiku wangu ukuwe mzuri pullliiizzzzzzzzzzzzzzz!
Forever and alwaysssssssss Min
Weka pics za Pariiii nataka nione ile uliyopiga kwenye tower 😂😂😂😂😁😁😁😁😁😁 Dah 😎😎
Nilijua ushalala 😂Ehhh swahiba na wewe kumbe yaliyomo yamo!!
JF ina majentromeni mayooooo.!! 😍😍
Huwa akili yangu haiwazi mara mbili unajua??Wewe zege halilali weka leo bana 😂😂
Kesho haijulikani we Mangi meri aje?
Unamuogopa nani na hakuna anayekujua humu!! Nasubiri
Mambo mazur kabisaa
Leo zamu yenu wanaume 😂😂😂Wacha maneno weka mziki
Ankal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Mimi bila kuona tandam leo camera ina UKUNGULeo zamu yenu wanaume 😂😂😂
Kesho wanawake tushushe pics za “tandam” tukiongozwa na le madam mwenyewe uduguu 🤣🤣
Weka weka MangiiiiiiHuwa akili yangu haiwazi mara mbili unajua??
Nimecheka huku we unanijijua mwenyewe 😂Ankal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Hata za kilingeni we tupia
Na miwani myeusiiiAnkal weka pic zako hizi hatutaki 😂😂
Hata za kilingeni we tupia
Niweke nipo na mbege ?Weka weka Mangiiiiii
Leo ndio leo 😂😂😂
😁😂😁😁😁😁Weka pics za Pariiii nataka nione ile uliyopiga kwenye tower 😂😂😂
😂😂😂 nilale nigundue nini??Nilijua ushalala 😂
Wengine tumeishia kuona vile videle vyako vya pete Pete ukiwa umeshika IN GOD WE TRUST 😂😂