Magezi bugaga
JF-Expert Member
- Jul 7, 2021
- 1,561
- 1,981
Weka hata za ikonda, luhumbu, igolwa , kipengele , kidope , ipelele na kwingineko😂😂😂 nilale nigundue nini??
Kesho mapema naweka, sema mi mkinga pics zangu nyingi zinadeal na maokoto tu.!!
Weka hata za ikonda, luhumbu, igolwa , kipengele , kidope , ipelele na kwingineko😂😂😂 nilale nigundue nini??
Kesho mapema naweka, sema mi mkinga pics zangu nyingi zinadeal na maokoto tu.!!
Weka leo bhana 😂😂Ahaaa Maokoto yapo...kesho ntapost masile sile yapo kwa dumu pia si Maokoto 🤣🤣
Ofsa tupia
Mno nasubiria wa picha za ku edit nitume video😅😅😅Tukale kisusio au sio 😂😂
Samaleko Jirani!🤚 Kumbe Upogo!
Ulisikia lady in dress ndo hii sasa
Aaah ww mpaka yatolewe kutu kutu 🤣🤣Weka leo bhana 😂😂
Hello 👋Samaleko Jirani!🤚 Kumbe Upogo!
Karibu tena selfika jirani
Nipo jirani, uko powa?. Asante jiraniSamaleko Jirani!🤚 Kumbe Upogo!
Karibu tena selfika jirani
😂😂😂 nikipandisha milimani au?Weka hata za ikonda, luhumbu, igolwa , kipengele , kidope , ipelele na kwingineko
Sijawahi kufika huko mkuu😅😅Weka Ile ulio vaa miwani ukiwa spain
Mkuu msalimie sana huyu
Kaka nipo kupokea mahali tu hapa mnywaniMi nimesema namie unipeleke ulaya sijasema nakutaka weeeh jishike 😊
Naam wakili Tupia selfie 😎😂😂😂 nikipandisha milimani au?
Tulia hapo hapo nakuletea balaa soon
😂😂😂 wewe hao achana nao tupiaMno nasubiria wa picha za ku edit nitume video😅😅😅
Saafiiingoja leo nisfike
😂😂😂 nikipandisha milimani au?
Tulia hapo hapo nakuletea balaa soon
Niko vyedi sana jirani selfika tulimiss uwepo wako tunafurahi kukuona tena!Nipo jirani, uko powa?. Asante jirani