Kapachino
JF-Expert Member
- May 23, 2019
- 3,505
- 8,713
Haha!!Chino wangu 😍😍
Haya tupia hb wa selfika, kitambo sijaona pic yako
Picha hazishuki huwezi amini, chaka sana huku.(Nikiingia kwenye hema langu ndo kabisa net inakata.
Haha!!Chino wangu 😍😍
Haya tupia hb wa selfika, kitambo sijaona pic yako
Aiseeekumbe watu madr wa upasuaji na hamsemi
Umeanza utetezi 😂😂Haha!!
Picha hazishuki huwezi amini, chaka sana huku.(Nikiingia kwenye hema langu ndo kabisa net inakata.
Kabisa 😭Mkuu ephen_ wetu kapotea
sio sawaNenda ntakutunzia screenshot, kawatibie wagonjwa mkuu 😂😂
Hapana unatuangusha wanaume wa JF...ngoja nikuunge kwa wifi hapo chap tu 🤣🤣(joking)Haha!!
Picha hazishuki huwezi amini, chaka sana huku.(Nikiingia kwenye hema langu ndo kabisa net inakata.
utani tuAiseee
unataka akose demuUmeanza utetezi 😂😂
Tupia hata Hilo chaka
Jimwage hapa meku tufahamianeutani tu
😁😁Endelea Mangi 😍
Aaaah jirani unakwama sasa😊!Sina jirani...kasimu kangu kabovu usiku huu🤣
Net ikikaa fresh utafurahiUmeanza utetezi 😂😂
Tupia hata Hilo chaka
Kwani wanatupia pic wapate mademu?? 🤣🤣unataka akose demu
ahah ndio maisha yetu ya jfKwani wanatupia pic wapate mademu?? 🤣🤣
Kuna mmoja alikuwa anatupia pics yuko maandishi matatu, (USA) siku ya siku nimemuona kwenye uzi mmoja analalamika mbegu alizopanda shambani kwake mkoa il huko hajizastawi 🤣🤣🤣
Anaomba ushauri kwa mabwana kilimo wamsaidie 🤣🤣