hakomana sekemesekeme
JF-Expert Member
- Oct 15, 2023
- 645
- 1,576
nyie warembo uchwara mpoo??😕😕😕😕
Kabiisa baki hapohapoNipo sitokiiii😄😄
Powaaaaaaaaaaaaaa 🤣🤣mambo zenu🤣🤣
una mpenziPowaaaaaaaaaaaaaa 🤣🤣
Kitufe alobonyeza ashikilie hapohapooo! Bado tunasubiria naked sieeeMin umefuta nn😄😄
Kitufe alobonyeza ashikilie hapohapooo! Bado tunasubiria naked sieee
🏋️🏋️🏋️Nakusubiriii![]()
Tatizo babu mwenzako nilizaliwa na mama kijana, naye alizaliwa na mama yake kijana toto la kinyamwezi.. ndio huyo bibi yangu kaniharibu na mineno yake 😂😂Siku hizi una misamiati migumu Mjukuu hadi Babu yenu inanishinda 🤗
Uduguu em njoo unishauri kwanza, ukifika nishtue yani nimevurugika.. sijui ndio nimetupiwa jini hii sio kawaida kabisaa.!! 😹😹😹endeleaa na kazii uduguuu, mie nalala mapema leo.
Imekuajeeeee? Wee uduguuu nambiee, nishafikaaa hapaaa.Uduguu em njoo unishauri kwanza, ukifika nishtue yani nimevurugika.. sijui ndio nimetupiwa jini hii sio kawaida kabisaa.!!![]()






Tatizo babu mwenzako nilizaliwa na mama kijana, naye alizaliwa na mama yake kijana toto la kinyamwezi.. ndio huyo bibi yangu kaniharibu na mineno yake
Kuna siku simu yake inaita nikamwambia bibi pokea simu au nikupokelee akanijibu, We mtoto koma,”Huyo mshefa wangu alikuwa footballer”
Basi na mi nikakumbuka nikakuita hivyo kina bibi wakuje






bibi yako amechachukaa vibayaaaa.Unavyopenda ubuyu ukawahi chap 🤣🤣🤣Imekuajeeeee? Wee uduguuu nambiee, nishafikaaa hapaaa.
![]()