Selfika na JF: Snap it. Show it

Nimechoka niko hoi jana nimecheza taarabu

Nyie nimetamani had kupata mke mwenza nichambane naye
leo niliamka na mode ya ladha ya mwambao wa pwani.
Nkavaa ujora wangu pambee, nikaanzaa weka taarabu za Sabaha Muchacho, zimenikoshajeee.

Nilipoweka ile "Debe Tupu" nilivyochachukaa utadhani nna mke mwenza kweliii.

Hatareeeeh
 
Eeeeh ikawajeee?

Nipe ubuyuuu uduguuuu
Shangingi kajipata bwana bwana kweli, kachinja mbuzi kwa mkono wake makaburini ili ajiweke mana upinzani ulikuwa mkali..!!

Huyo bwana pesa za kumwaga, bibie kajengewa ghorofa mwanagati.. ila ndoa kaisotea.! Za chini ya carpet mama yake mchawi ndio kayafanya yote hayo.!!
Bibie mdigo wa duga huko 🤣🤣🤣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…