min -me
JF-Expert Member
- Jul 20, 2022
- 57,834
- 165,655
Madam hatujaona🥲Selfika na Smart
Enjoy your weekend wapendwa
Kila la kheri Yangaaa 💚💚💛💛🖤🖤💪💪💪💪💪💪
Madam hatujaona🥲Selfika na Smart
Enjoy your weekend wapendwa
Kila la kheri Yangaaa 💚💚💛💛🖤🖤💪💪💪💪💪💪
Kuna haja niende tena kliniki yangu ya macho
Nimezoom zaidi ya mara 10 sijafanikiwa kuona the real picture🙌
Kweli nimezeeka Babu yenu 🤗
😁😁Madam hatujaona🥲
Raha ya kusomesha Wajukuu hiyo, mambo ya Vitamin A hata nilikuwa sijui 🤗Pole sana babu jitahidi kula vyakula vyenye vitamin A especially carrot kwawingi zinasaidia kuona vizuriiii
Kana ringa kale 😁😁😁😁
Mwambie Efen akupikie masapta sapta yenye vitamin A kwawingiiii ndio utaona vizureeee😁😁😁!
🙄😒unamtuma eeeehKana ringa kale 😁😁
Miss you more granpa mwambie bibi mie na mkweo tunajiandaa kuja kuwasabahiii kitambo sana tumewamisi piaRaha ya kusomesha Wajukuu hiyo, mambo ya Vitamin A hata nilikuwa sijui 🤗
Bibi yenu akirudi shambani, nitamwambia aniandalie Carrot niwe natafuna tafuna wakati nikicheza bao na Wazee wenzangu 🤗
Bibi yako na Mimi tumekukumbuka sana Mjukuu
Actttttt maannnnn aaaaaaaaaccttttt!Hahahaha unauhakika nitashinda😁
Mimi nilimwambia kua min ake wewe hujui kuiomba akabaki analia😎Actttttt maannnnn aaaaaaaaaccttttt!
Less words more actions 😁!
Pikipiki posta kaziniiii sihitaji malipoooo 😁😁😁😁 !Kakwambia atakulipa kiasi gani?🤔
Umerudisha morali yangu ya ushindi ,kwa sababu kanuni yangu huwa sipigani vita nisivyo ona mwelekeo wa kushinda😁😁😁😁Actttttt maannnnn aaaaaaaaaccttttt!
Less words more actions 😁!
😁😁😁😁😁😁😁😁😁!Mimi nilimwambia kua min ake wewe hujui kuiomba akabaki analia😎
🙄🥴JidanganyeUmerudisha morali yangu ya ushindi ,kwa sababu kanuni yangu huwa sipigani vita nisivyo ona mwelekeo wa kushinda😁😁😁😁
Mimi nataka aongee yeye mwenyewe usimuongeleePikipiki posta kaziniiii sihitaji malipoooo !
Napenda tu kuona min me akoooo anafurahieee utraaamm wakooo😂😂! Usimbanie mtoto wa mwanamke mwenzio ujueeeee
Ngoja utaona tu🙄🥴Jidanganye
Acha wogaaaa na u aaaaaactttttt😁Umerudisha morali yangu ya ushindi ,kwa sababu kanuni yangu huwa sipigani vita nisivyo ona mwelekeo wa kushinda😁😁😁😁
Kabeeeeeeeeesa huyo mbona wakoo kitambo sanaaaa ! RellaaaxxxxxxHahahaha unauhakika nitashinda😁