Mahondaw
JF-Expert Member
- Apr 9, 2013
- 72,009
- 177,302
Kuna haja niende tena kliniki yangu ya macho
Nimezoom zaidi ya mara 10 sijafanikiwa kuona the real picture🙌
Kweli nimezeeka Babu yenu 🤗
Pole sana babu jitahidi kula vyakula vyenye vitamin A especially carrot kwawingi zinasaidia kuona vizuriiii