Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 32,370
- 80,201
😂😁😁😁😁 Naogopa by hormonizeWeka mimi sikucheki🥴
Nimeanza mazoezi Toka juziKwanini mkuu atu tumbo linakua kama puto lililoisha upepo 😁😁😁
Iwe ni ratiba mkuu mimi tizi ni utamaduni kabisa.Nimeanza mazoezi Toka juzi
🥹Tubadilishane tumboIwe ni ratiba mkuu mimi tizi ni utamaduni kabisa.
6 pariiiii utaziweza 🤪🤪🤪🤪🥹Tubadilishane tumbo
Unamfanyia mazoezi anitta 🤣😁Iwe ni ratiba mkuu mimi tizi ni utamaduni kabisa.
😁😁😁Huyo ni wa kwako mkuu , nilianza mdogo mdogo mpka nikaathirika na tizi, napenda tizi nisipo pasha naumwa kabisaUnamfanyia mazoezi anitta 🤣😁
😂🤣🤣😁😁😁😁😁😁😁Huyo ni wa kwako mkuu , nilianza mdogo mdogo mpka nikaathirika na tizi, napenda tizi nisipo pasha naumwa kabisa
😉tubadilishane6 pariiiii utaziweza 🤪🤪🤪🤪
Mimi ndio wa kuwa na tumbo lako😭😭😭😭😉tubadilishane
Unazijua soseji choma?😂🤣🤣😁😁😁😁
Unanisaidia kubeba mzigo😂Mimi ndio wa kuwa na tumbo lako😭😭😭😭
Usikombe vocha wakati una wifi
Weka picha kama ya siku ile basi 😎😍Unanisaidia kubeba mzigo😂
Nikituma mnanicheka🥹🥹😣Weka picha kama ya siku ile basi 😎😍
Yani inasumbua mno hata kwangu😁