Umeipenda nikupe umpelekee wifi πΉNaonaπππ
Wifi tenaπ€£π€£π€£Umeipenda nikupe umpelekee wifi πΉ
Eeh kwani huna? πΉWifi tenaπ€£π€£π€£
Sina elfu tatu za kumpa ,nipo kataa ndoa kitamboπππEeh kwani huna? πΉ
Tajeeeeeeeeeerrrr umepoa!Mimi nikienda kudeposit shillings nazibeba kwenye bag mgongoni πΉπΉπΉ
Nikijitoaga out awww naweka usd halafu natowaga had tips kwa wahudumu najikuta cash madame π€£
πΉπΉπΉ unajichukulia sheria mkononi.!!Sina elfu tatu za kumpa ,nipo kataa ndoa kitamboπππ
Elfu tatu nacho ni kibunda cha kulinda basiππ tukianza lile zoezi utanieleza kuhusu hiyo Pete vizuriπππΉπΉπΉ unajichukulia sheria mkononi.!!
Unalinda kibunda chako
ππππ umenifanya nimecheka kwa sauti.!!Tajeeeeeeeeeerrrr umepoa!
Yeyote atakaekuzingua huo ugomvi Moja Kwa moja ni wangu!
Umepoa umepoaaaaaa
Hamna hiyo pete ni urembo tyuu.!!Elfu tatu nacho ni kibunda cha kulinda basiππ tukianza lile zoezi utanieleza kuhusu hiyo Pete vizuriππ
Mimi nimependa aina ya pesa uliyoshika na pete tu basiπHamna hiyo pete ni urembo tyuu.!!
Mi napenda sana urembo πΉ
Nyie hizi mnakuaje nazo nyingi? mm Kwa siku zinapita nyingi sana zaidi ya 10M lakini Sasa ulizia yangu ni sh ngp hapo? Ni kamzozoππππ umenifanya nimecheka kwa sauti.!!
Nimehisi km ndo Mwijaku sasa anaongea.!!
Nimepoa le madame lamomy πΉ
Winga unazingua
πΉπΉπΉ Hiyo pesa tamu sana, inaondoa uchovu na stress.!!Mimi nimependa aina ya pesa uliyoshika na pete tu basiπ
πΉπΉπΉ UongoNyie hizi mnakuaje nazo nyingi? mm Kwa siku zinapita nyingi sana zaidi ya 10M lakini Sasa ulizia yangu ni sh ngp hapo? Ni kamzozo
Ila utamu wake inategemea unaitumia ukiwa wap ππππΉπΉπΉ Hiyo pesa tamu sana, inaondoa uchovu na stress.!!
Inatibu mpk harara na mabaka
Labda kama unamaaanisha nashusha kama kuliπ,πΉπΉπΉ Uongo
Wewe unayeshusha mzigo kila baada ya wiki 2 unakosaje hizo??
Au ndio hutaki warembo wakuombe afu tatu pm??
Hamna black market yoyote, mi mkinga najituma na vijora vyangu.!!Labda kama unamaaanisha nashusha kama kuliπ,
Sema sishangai sana we kua na dollar kariakoo black market ya dollar nyingi zinamilikiwa na wanawake
πΉπΉ ww unaitumiaga wapi?Ila utamu wake inategemea unaitumia ukiwa wap πππ
Hapo Kwa Leo $1 ilikua 2835 Kwa hyo dollar zote ndo umetoka kuuza vijora? Wachina Wana la kujifunza kwako aseeeeHamna black market yoyote, mi mkinga najituma na vijora vyangu.!!
Ukiniona ninavyopiga debe kuwashawishi wateja wanunue vijora utanionea huruma.!! πΉπΉπΉ
Nmehisi tu sijawahi tumia.πΉπΉ ww unaitumiaga wapi?
πΉπΉπΉ waje waambie.!!Hapo Kwa Leo $1 ilikua 2835 Kwa hyo dollar zote ndo umetoka kuuza vijora? Wachina Wana la kujifunza kwako aseeee