Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 20,059
- 61,329
Koh Koh Koh...........hivi ulisema unataka zawadi ya abaya la rangi gani Mjukuu 🤗😹😹😹 nilonge nisilonge?
Mwenzenu babu, mchumba wake ni ……….!!
Babu mibibi unayo bana na unaitafuna kinyatu nyatu huna baya
Halafu ukiwa una Siri za watu jitahidi kutokunywa sana 😜