Ndio unavyojidanganya πΉπΉπΉWe sema unanielewa tu.. hamna cha jamaa wa insta wala wapi.. mara useme unanitamani, mara picha hazifanani, mara weka picha ya siku ile, halafu cha ajabu unakuja kujigundua we ndiye una wenge...
Hivi kumbe kuchat humu unaniona mie level zako eti?
πΉπΉπΉ Ule uzi una chai sijawahi kuona.!!Lakini hilo tatizo naona sio kubwa sana Mjukuu, nenda kapitie Uzi wa Tunda kimasihara uone vile Wanaume walivyo na performance isiyo na mashaka.
Tatizo limebaki Kwa sisi Wazee tu, najua imetokana na Umri wetu kututupa Mkono π€
Ila Vin hapana πππKwema kaka kale katapeli kuselfika aaanh kazi maneno mengi
Sawa ccy ukimaliza ni bless nipo hapa nakungoja.Bado sis ngoja nimalizie kupiga kitu cha matoke mixa karanga ndondo dagaa hapaaaππ€!
Bomu la kimataifaπ
ππππSawa me nawasubiriMpaka ephen aanze kwanza mimi nitafuataππ
Dakika sifuri sisSawa ccy ukimaliza ni bless nipo hapa nakungoja.
4 people are here ππππππSawa me nawasubiri
Sawa ccyDakika sifuri sis
Tutaselfika tukibaki wawili, mimi na weweπMpaka ephen aanze kwanza mimi nitafuataππ
Weee umependeza ccy.Lovelovie sis zile nywele za tangu desemba 23 ntasuka tena desemba 24π
Muwe na Usiku mwema wapendwa π€π€π€π€π€π΄π΄π΄π΄π΄
UongoTutaselfika tukibaki wawili, mimi na weweπ
ππMe, mahondwa, u, en ephen4 people are here ππ
UtajijuUongo