Carasco Putin
JF-Expert Member
- Apr 23, 2022
- 13,327
- 37,747
Umemaliza au bado kuna zingine?Tupia basi moja..
Mpo wengi babu ila wewe babuu mjanja wa town πΉπΉNina bahati mbaya sijamuona huyo Mzee mwenzangu ππ
Kumbe mkipata shida kwenye Ndoa zenu, MaBabu tumejaa hapa kuweza kuwashauri π€
Babu naomba bisi ππ
Huo ujanja unatoka wapi Kwa Mzee wa Umri wangu tuliozaliwa kabla ya ComputerπMpo wengi babu ila wewe babuu mjanja wa town πΉπΉ
Njoo uchukue Mjukuu π€Babu naomba bisi ππ
Bila shaka hizi kaagiza bibi ww una glass ya whiskey pembeni πΉπΉ
Babu ndiomana kina bibi wanakugombea kumbe unakula ugali πππHuo ujanja unatoka wapi Kwa Mzee wa Umri wangu tuliozaliwa kabla ya Computerπ
Njoo unilipie bill Mjukuu
View attachment 3038773
πΉπΉπΉ Nataka chocolate babuNjoo uchukue Mjukuu π€
Ungependa waweke sukari ama chumvi?
Kama ulivyosema, utanikuta nimekaa kwenye Kona hivi nakunywa zangu Whiskey π
You always don't want peace Mjukuu π€Babu ndiomana kina bibi wanakugombea kumbe unakula ugali πππ
Waelekeze na wajukuu zako wa kiume wasishindie viepe na baga. πΉ
We umenipenda..Umemaliza au bado kuna zingine?
Hahaha.........haya uje uchukue MjukuuπΉπΉπΉ Nataka chocolate babu
Nakuja babu ss hivi ngoja niite boda si unajua bonyokwa kulivyo mbali mpk kufikia huko down town
We umenipenda si bure...Baya πΉ
πΉπΉπΉ Najaribu kukufikishia ujumbe babu ili uwaeke chini uwape sheria za kiumeniYou always don't want peace Mjukuu π€
πΉπΉπΉ Hii kali nipende nini?? Hiyo picha ya huyo jamaa uliyemchukua insta sijui umemuokoteza wapi huko?!!We umenipenda..
Nakaribia kufika babu boda yupo speed kali, mwendo wa ngiri mkia juuHahaha.........haya uje uchukue Mjukuu
We sema unanielewa tu.. hamna cha jamaa wa insta wala wapi.. mara useme unanitamani, mara picha hazifanani, mara weka picha ya siku ile, halafu cha ajabu unakuja kujigundua we ndiye una wenge...πΉπΉπΉ Hii kali nipende nini?? Hiyo picha ya huyo jamaa uliyemchukua insta sijui umemuokoteza wapi huko?!!
Au hiyo fake id uliyokuwa nayo??
Lakini hilo tatizo naona sio kubwa sana Mjukuu, nenda kapitie Uzi wa Tunda kimasihara uone vile Wanaume walivyo na performance isiyo na mashaka.πΉπΉπΉ Najaribu kukufikishia ujumbe babu ili uwaeke chini uwape sheria za kiumeni
Mapambano yanaendelea ππππWe sema unanielewa tu.. hamna cha jamaa wa insta wala wapi.. mara useme unanitamani, mara picha hazifanani, mara weka picha ya siku ile, halafu cha ajabu unakuja kujigundua we ndiye una wenge...
Hivi kumbe kuchat humu unaniona mie level zako eti?