amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 2,162
- 4,742
😂😂😂 Kuna mtu atapigwa na kitu kizito hapaI won't tell you everything 🤣
😂😂😂 Kuna mtu atapigwa na kitu kizito hapaI won't tell you everything 🤣
Wa kichoyo
Beautiful indeedNa kwenye midomo ya simba Nikatoka salamaaaa
Naaa jangwani ukafanya kisima
Teeeenaaa kisima
Kisima cha uzima
Muwe na siku njema wapendwa
Umeadimika sikuoni siku hizi au ndo Changamoto ya bando,,, hilo jina la mbona liko poa tu alafu la kindewa, si unajua sie wandewaJina na avatar yako havisadifu kabisaa, em badilisha bhanaa.
Ndo rah ya kuwa single😃😃Wa kichoyo
Unakuaje single sasa kwa hali hiiNdo rah ya kuwa single![]()
Thank you mkuuBeautiful indeed
Shangaziii naombaa nifundishee ku marinate hivii, nataka had ba tamu ajiulize nilisoma wapi hotel management.




Umeadimika sikuoni siku hizi au ndo Changamoto ya bando,,, hilo jina la mbona liko poa tu alafu la kindewa, si unajua sie wandewa



jamanii mbona niko humu sanaa tyuuh? Wee ndo umepotea bhanaa.Brother shikamoo..jamanii mbona niko humu sanaa tyuuh? Wee ndo umepotea bhanaa.
Aaah toa jina na picha hiyo, weka enye inasadifu uko.
Marhaba mchumba, hujambo??!!Brother shikamoo..
Jina lenye kusadifu kivipi yani hapa sijaielewa,, yani kusadifu hiyo vipi😃jamanii mbona niko humu sanaa tyuuh? Wee ndo umepotea bhanaa.
Aaah toa jina na picha hiyo, weka enye inasadifu uko.
Em weka jina zuri, na huyo mzee mtoe hapo.Jina lenye kusadifu kivipi yani hapa sijaielewa,, yani kusadifu hiyo vipi![]()




Em weka jina zuri, na huyo mzee mtoe hapo.![]()
Brother coca pole sana kwa kupigwa spana.Em weka jina zuri, na huyo mzee mtoe hapo.![]()
Auntie nifundishe